1
Luka 19:10
BIBLIA KISWAHILI
Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
Linganisha
Chunguza Luka 19:10
2
Luka 19:38
wakasema, Ndiye mbarikiwa Mfalme ajaye kwa jina la Bwana; amani mbinguni, na utukufu huko juu.
Chunguza Luka 19:38
3
Luka 19:9
Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Abrahamu.
Chunguza Luka 19:9
4
Luka 19:5-6
Na Yesu, alipofika mahali pale, alitazama juu, akamwambia, Zakayo, shuka upesi, kwa kuwa leo imenipasa kushinda nyumbani mwako. Akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa furaha.
Chunguza Luka 19:5-6
5
Luka 19:8
Zakayo akasimama, akamwambia Bwana, Tazama, Bwana, nusu ya mali yangu nawapa maskini, na ikiwa nimenyang'anya mtu kitu kwa hila namrudishia mara nne.
Chunguza Luka 19:8
6
Luka 19:39-40
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, uwakanye wanafunzi wako. Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatanena kwa sauti kuu.
Chunguza Luka 19:39-40
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video