1
Luka 13:24
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
“Mlango wa kuingia katika ufalme wa Mungu ni mwembamba. Jitahidini kuingia kupitia mlango huo. Watu wengi watataka kuingia huko, lakini hawataweza.
Linganisha
Chunguza Luka 13:24
2
Luka 13:11-12
Alikuwepo mwanamke mmoja ndani ya sinagogi aliyekuwa na pepo mchafu aliyemlemaza kwa muda wa miaka kumi na nane. Mgongo wake ulikuwa umepinda na hakuweza kusimama akiwa amenyooka. Yesu alipomwona alimwita na kumwambia, “Mama, umefunguliwa kutoka katika ugonjwa wako!”
Chunguza Luka 13:11-12
3
Luka 13:13
Akaweka mikono yake juu yake na saa hiyo hiyo akaweza kusimama akiwa amenyooka. Akaanza kumsifu Mungu.
Chunguza Luka 13:13
4
Luka 13:30
Zingatieni kwamba wako walio wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, na wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.”
Chunguza Luka 13:30
5
Luka 13:25
Mtu anapoufunga mlango wa nyumba yake, unaweza ukasimama nje na kubisha mlangoni, lakini hataufungua. Mnaweza kusema, ‘Mkuu tufungulie mlango!’ Lakini yeye akawajibu, ‘Siwajui ninyi na mnakotoka sikujui.’
Chunguza Luka 13:25
6
Luka 13:5
Hawakuwa hivyo. Lakini ninawaambia, ikiwa hamtaamua kubadilika sasa, hata ninyi mtaangamizwa pia!”
Chunguza Luka 13:5
7
Luka 13:27
Kisha atawaambia, ‘Siwajui na sijui mlikotoka! Ondokeni kwangu! Ninyi nyote ni watu mnaotenda maovu!’
Chunguza Luka 13:27
8
Luka 13:18-19
Kisha Yesu akasema, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Niufananishe na nini? Ufalme wa Mungu ni kama mbegu ya haradali. Mtu mmoja aliichukua na kuipanda katika bustani yake. Mbegu ikaota, ikakua na kuwa mti na ndege wakatengeneza viota kwenye matawi yake.”
Chunguza Luka 13:18-19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video