1
Ufunuo 18:4
Swahili Revised Union Version
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
Linganisha
Chunguza Ufunuo 18:4
2
Ufunuo 18:2
Akalia kwa sauti kuu, akisema, Umeanguka, umeanguka Babeli ulio mkuu; umekuwa maskani ya mashetani, na ngome ya kila roho mchafu, na ngome ya kila ndege mchafu mwenye kuchukiza
Chunguza Ufunuo 18:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video