1
Zaburi 9:10
Swahili Revised Union Version
Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao.
Linganisha
Chunguza Zaburi 9:10
2
Zaburi 9:1
Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu
Chunguza Zaburi 9:1
3
Zaburi 9:9
BWANA atakuwa ngome kwake aliyeonewa, Naam, ngome kwa nyakati za shida.
Chunguza Zaburi 9:9
4
Zaburi 9:2
Nitafurahi na kukushangilia; Nitaliimbia sifa jina lako, Wewe Uliye juu.
Chunguza Zaburi 9:2
5
Zaburi 9:8
Naye atauhukumu ulimwengu kwa haki; Atawaamua watu kwa uadilifu.
Chunguza Zaburi 9:8
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video