1
Zaburi 24:1
Swahili Revised Union Version
Nchi na vyote vilivyomo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Linganisha
Chunguza Zaburi 24:1
2
Zaburi 24:10
Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? BWANA wa majeshi, Yeye ndiye Mfalme wa utukufu.
Chunguza Zaburi 24:10
3
Zaburi 24:3-4
Ni nani atakayepanda katika mlima wa BWANA? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake? Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, Asiyeiweka nafsi yake katika uongo, Wala hakuapa kwa hila.
Chunguza Zaburi 24:3-4
4
Zaburi 24:8
Ni nani Mfalme wa utukufu? BWANA mwenye nguvu, hodari, BWANA hodari wa vita.
Chunguza Zaburi 24:8
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video