1
Zab 5:12
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kwa maana Wewe utambariki mwenye haki; BWANA, utamzungushia radhi kama ngao.
Linganisha
Chunguza Zab 5:12
2
Zab 5:3
BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
Chunguza Zab 5:3
3
Zab 5:11
Nao wote wanaokukimbilia watafurahi; Watapiga daima kelele za furaha. Kwa kuwa Wewe unawahifadhi, Walipendao jina lako watakufurahia.
Chunguza Zab 5:11
4
Zab 5:8
BWANA, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uisawazishe njia yako mbele ya uso wangu
Chunguza Zab 5:8
5
Zab 5:2
Uisikie sauti ya kilio changu, Ee Mfalme wangu na Mungu wangu, Kwa maana Wewe ndiwe nikuombaye.
Chunguza Zab 5:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video