1
Ayu 5:17-18
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Tazama, yu heri mtu yule Mungu amwadhibuye; Kwa hiyo usidharau kurudiwa na huyo Mwenyezi. Kwani yeye huumiza, lakini tena huuguza; Yeye hutia jeraha, na mikono yake huponya.
Linganisha
Chunguza Ayu 5:17-18
2
Ayu 5:8-9
Lakini mimi ningemtafuta Mungu, Ningemwekea Mungu daawa yangu; Yeye afanyaye mambo makuu, yasiyotambulikana; Mambo ya ajabu yasiyo na hesabu
Chunguza Ayu 5:8-9
3
Ayu 5:19
Yeye atakuokoa na mateso sita; Naam, hata katika saba hapana uovu utakaokugusa.
Chunguza Ayu 5:19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video