1
Isa 29:13
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walicho nacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa
Linganisha
Chunguza Isa 29:13
2
Isa 29:16
Ninyi mnapindua mambo; Je! Mfinyanzi ahesabiwe kuwa kama udongo; kitu kilichofinyangwa kimnene yeye aliyekifinyanga, Hakunifinyanga huyu; au kitu kilichoumbwa kimnene yeye aliyekiumba, Yeye hana ufahamu?
Chunguza Isa 29:16
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video