1
Kum 17:19
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
na awe nayo, asome humo siku zote atakazoishi; ili apate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wake, ayashike maneno yote ya torati hii na amri hizi, kwa kuyafanya
Linganisha
Chunguza Kum 17:19
2
Kum 17:17
Wala asijizidishie wake, ili moyo wake usikengeuke; wala asifanye fedha zake na dhahabu kuwa nyingi mno.
Chunguza Kum 17:17
3
Kum 17:18
Tena na iwe, zamani aketipo juu ya kiti cha ufalme wake, ajiandikie nakala ya torati hii katika chuo, kufuata hicho kilicho mbele ya makuhani Walawi
Chunguza Kum 17:18
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video