1
2 Sam 22:3
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Mungu wa mwamba wangu, nitamwamini yeye; Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, mnara wangu, na makimbilio yangu; Mwokozi wangu, waniokoa na jeuri.
Linganisha
Chunguza 2 Sam 22:3
2
2 Sam 22:31
Mungu njia yake ni kamilifu; Ahadi ya BWANA imehakikishwa; Yeye ndiye ngao yao Wote wanaomkimbilia.
Chunguza 2 Sam 22:31
3
2 Sam 22:2
akasema, BWANA ndiye jabali langu, na ngome yangu, na mwokozi wangu, naam, wangu
Chunguza 2 Sam 22:2
4
2 Sam 22:33
Mungu ndiye ngome yangu yenye nguvu; Naye huwaongoza wakamilifu katika njia yake.
Chunguza 2 Sam 22:33
5
2 Sam 22:29
Kwa kuwa wewe u taa yangu, Ee BWANA; Na BWANA ataniangazia giza langu.
Chunguza 2 Sam 22:29
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video