1
Zaburi 97:10
Neno: Bibilia Takatifu
Wale wanaompenda BWANA na wauchukie uovu, kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 97:10
2
Zaburi 97:12
Furahini katika BWANA, ninyi mlio wenye haki, lisifuni jina lake takatifu.
Chunguza Zaburi 97:12
3
Zaburi 97:11
Nuru huangaza wenye haki na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Chunguza Zaburi 97:11
4
Zaburi 97:9
Kwa kuwa wewe, Ee BWANA, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote; umetukuka sana juu ya miungu yote.
Chunguza Zaburi 97:9
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video