1
Zaburi 73:26
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu na fungu langu milele.
Linganisha
Chunguza Zaburi 73:26
2
Zaburi 73:28
Lakini kwangu mimi, ni vyema kuwa karibu na Mungu. Nimemfanya Bwana Mungu Mwenyezi kimbilio langu; nami nitayasimulia matendo yako yote.
Chunguza Zaburi 73:28
3
Zaburi 73:23-24
Hata hivyo niko pamoja nawe siku zote, umenishika mkono wangu wa kuume. Unaniongoza kwa ushauri wako, hatimaye utaniingiza katika utukufu.
Chunguza Zaburi 73:23-24
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video