1
Zaburi 71:5
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee Bwana Mungu Mwenyezi, tegemeo langu tangu ujana wangu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 71:5
2
Zaburi 71:3
Uwe kwangu mwamba wa kimbilio, mahali nitakapokimbilia kila wakati; toa amri ya kuniokoa, kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu.
Chunguza Zaburi 71:3
3
Zaburi 71:14
Lakini mimi nitatumaini siku zote; nitakusifu zaidi na zaidi.
Chunguza Zaburi 71:14
4
Zaburi 71:1
Ee Mwenyezi Mungu, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe.
Chunguza Zaburi 71:1
5
Zaburi 71:8
Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa.
Chunguza Zaburi 71:8
6
Zaburi 71:15
Kinywa changu kitasimulia haki yako, wokovu wako mchana kutwa, ingawa sifahamu kipimo chake.
Chunguza Zaburi 71:15
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video