1
Zaburi 43:5
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? Weka tumaini lako kwa Mungu, kwa sababu bado nitamsifu Mwokozi wangu na Mungu wangu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 43:5
2
Zaburi 43:3
Tuma hima nuru yako na kweli yako viniongoze; na vinilete hadi mlima wako mtakatifu, mahali unapoishi.
Chunguza Zaburi 43:3
3
Zaburi 43:1
Ee Mungu unihukumu, nitetee dhidi ya taifa lisilomcha Mungu, niokoe na watu wadanganyifu na waovu.
Chunguza Zaburi 43:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video