1
Zaburi 41:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Heri mtu yule anayemjali mnyonge, Mwenyezi Mungu atamwokoa wakati wa shida.
Linganisha
Chunguza Zaburi 41:1
2
Zaburi 41:3
Mwenyezi Mungu atamtegemeza akiwa mgonjwa kitandani, na atamwinua kutoka kitandani mwake.
Chunguza Zaburi 41:3
3
Zaburi 41:12
Katika uadilifu wangu unanitegemeza na kuniweka kwenye uwepo wako milele.
Chunguza Zaburi 41:12
4
Zaburi 41:4
Nilisema, “Ee Mwenyezi Mungu nihurumie, niponye, maana nimekutenda dhambi wewe.”
Chunguza Zaburi 41:4
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video