1
Zaburi 149:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa maana Mwenyezi Mungu anapendezwa na watu wake, anawavika wanyenyekevu taji la wokovu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 149:4
2
Zaburi 149:6
Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao na upanga ukatao kuwili mikononi mwao
Chunguza Zaburi 149:6
3
Zaburi 149:1
Msifuni Mwenyezi Mungu. Mwimbieni Mwenyezi Mungu wimbo mpya, sifa zake katika kusanyiko la watakatifu.
Chunguza Zaburi 149:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video