1
Zaburi 146:5
Neno: Bibilia Takatifu
Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, ambaye tumaini lake ni katika BWANA, Mungu wake
Linganisha
Chunguza Zaburi 146:5
2
Zaburi 146:3
Usiweke tumaini lako kwa wakuu, kwa wanadamu ambao hufa, ambao hawawezi kuokoa.
Chunguza Zaburi 146:3
3
Zaburi 146:7-8
Naye huwapatia haki walioonewa na kuwapa wenye njaa chakula. BWANA huwaweka wafungwa huru, BWANA huwafumbua vipofu macho, BWANA huwainua waliolemewa na mizigo yao, BWANA huwapenda wenye haki.
Chunguza Zaburi 146:7-8
4
Zaburi 146:6
Muumba wa mbingu na nchi, na bahari na vyote vilivyomo ndani yake: BWANA anayedumu kuwa mwaminifu milele na milele.
Chunguza Zaburi 146:6
5
Zaburi 146:9
BWANA huwalinda wageni na kuwategemeza yatima na wajane, lakini hupinga njia za waovu.
Chunguza Zaburi 146:9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video