1
Zaburi 113:3
Neno: Bibilia Takatifu
Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, jina la BWANA linapaswa kusifiwa.
Linganisha
Chunguza Zaburi 113:3
2
Zaburi 113:9
Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, akiwa mama watoto mwenye furaha. Msifuni BWANA.
Chunguza Zaburi 113:9
3
Zaburi 113:7
Huwainua maskini kutoka mavumbini, na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala
Chunguza Zaburi 113:7
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video