1
Marko 1:35
Neno: Bibilia Takatifu
Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Yesu akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba.
Linganisha
Chunguza Marko 1:35
2
Marko 1:15
akisema, “Wakati umewadia, Ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuiamini Habari Njema.”
Chunguza Marko 1:15
3
Marko 1:10-11
Yesu alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho akishuka juu yake kama hua. Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.”
Chunguza Marko 1:10-11
4
Marko 1:8
Mimi nawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu.”
Chunguza Marko 1:8
5
Marko 1:17-18
Yesu akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.” Mara wakaacha nyavu zao, wakamfuata.
Chunguza Marko 1:17-18
6
Marko 1:22
Watu wakashangaa sana kwa mafundisho yake, kwa maana aliwafundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wa sheria.
Chunguza Marko 1:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video