1
Yeremia 39:17-18
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema Mwenyezi Mungu; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa. Nitakuokoa; hutaanguka kwa upanga, maisha yako yatakuwa salama, kwa sababu unanitumaini, asema Mwenyezi Mungu.’ ”
Linganisha
Chunguza Yeremia 39:17-18
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video