1
Yakobo 2:17
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Vivyo hivyo, imani peke yake, kama haikuambatana na matendo, imekufa.
Linganisha
Chunguza Yakobo 2:17
2
Yakobo 2:26
Kama vile mwili pasipo roho umekufa, kadhalika nayo imani pasipo matendo imekufa.
Chunguza Yakobo 2:26
3
Yakobo 2:14
Ndugu zangu, yafaa nini ikiwa mtu atadai kuwa anayo imani lakini hana matendo? Je, imani kama hiyo yaweza kumwokoa?
Chunguza Yakobo 2:14
4
Yakobo 2:19
Unaamini kwamba kuna Mungu mmoja. Vyema! Hata mashetani wanaamini hivyo na kutetemeka.
Chunguza Yakobo 2:19
5
Yakobo 2:18
Lakini mtu mwingine atasema, “Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo.” Nioneshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonesha imani yangu kwa matendo.
Chunguza Yakobo 2:18
6
Yakobo 2:13
Kwa kuwa hukumu bila huruma itatolewa kwa mtu yeyote asiyekuwa na huruma. Huruma huishinda hukumu.
Chunguza Yakobo 2:13
7
Yakobo 2:24
Mnaona kwamba mtu huhesabiwa haki kwa yale anayotenda wala si kwa imani peke yake.
Chunguza Yakobo 2:24
8
Yakobo 2:22
Unaona jinsi imani yake na matendo yake vilikuwa vinatenda kazi pamoja, nayo imani yake ikakamilishwa na kile alichotenda.
Chunguza Yakobo 2:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video