1
Waebrania 8:12
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa sababu nitasamehe uovu wao, wala sitazikumbuka dhambi zao tena!”
Linganisha
Chunguza Waebrania 8:12
2
Waebrania 8:10
Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli baada ya siku zile, asema Mwenyezi Mungu. Nitaziweka sheria zangu katika nia zao na kuziandika mioyoni mwao. Nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
Chunguza Waebrania 8:10
3
Waebrania 8:11
Mtu hatamfundisha tena jirani yake, wala mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Mjue Mwenyezi Mungu,’ kwa sababu wote watanijua mimi, tangu aliye mdogo kabisa kwao, hadi aliye mkuu sana.
Chunguza Waebrania 8:11
4
Waebrania 8:8
Lakini Mungu aliona kosa kwa watu, naye akasema: “Siku zinakuja, asema Mwenyezi Mungu, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda.
Chunguza Waebrania 8:8
5
Waebrania 8:1
Basi jambo tunalotaka kulisema ni hili: Tunaye Kuhani Mkuu aliyeketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Aliye Mkuu mbinguni
Chunguza Waebrania 8:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video