1
Kutoka 23:25-26
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Utamwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na baraka zake zitakuwa juu ya vyakula vyako na maji yako. Nami nitaondoa maradhi miongoni mwako, na hakuna atakayeharibu mimba wala atakayekuwa tasa katika nchi yako. Nami nitakupa maisha makamilifu.
Linganisha
Chunguza Kutoka 23:25-26
2
Kutoka 23:20
“Tazama, ninamtuma malaika akutangulie mbele yako akulinde njiani na kukuleta mahali nilipoandaa.
Chunguza Kutoka 23:20
3
Kutoka 23:22
Ukizingatia atakachosema na kufanya yote ninayosema, nitakuwa adui wa adui zako, na nitawapinga wale wakupingao.
Chunguza Kutoka 23:22
4
Kutoka 23:2-3
“Usifuate umati wa watu katika kutenda mabaya. Unapotoa ushahidi kwenye mashtaka, usipotoshe haki ukijumuika na umati wa watu, nawe usimpendelee mtu maskini katika mashtaka yake.
Chunguza Kutoka 23:2-3
5
Kutoka 23:1
“Usieneze habari za uongo. Usimsaidie mtu mwovu kwa kuwa shahidi mwenye nia ya kudhuru wengine.
Chunguza Kutoka 23:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video