1
Kutoka 1:17
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini hao wakunga walimcha Mungu na hawakufanya kile mfalme wa Misri alichowaambia kufanya, bali wakawaacha watoto wa kiume waishi.
Linganisha
Chunguza Kutoka 1:17
2
Kutoka 1:12
Lakini walivyozidi kuteswa, ndivyo walivyozidi kuongezeka na kuenea katika nchi. Wamisri wakawaogopa Waisraeli
Chunguza Kutoka 1:12
3
Kutoka 1:21
Kwa vile hao wakunga walimcha Mungu, Mungu akawajalia kuwa na jamaa zao wenyewe.
Chunguza Kutoka 1:21
4
Kutoka 1:8
Kisha mfalme mwingine ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri.
Chunguza Kutoka 1:8
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video