1
Danieli 1:8
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini Danieli alikusudia kuwa hatajinajisi kwa chakula cha mfalme na divai, naye akamwomba mkuu wa maafisa ruhusa ili asijinajisi kwa njia hii.
Linganisha
Chunguza Danieli 1:8
2
Danieli 1:17
Mungu akawapa hawa vijana wanne maarifa na ufahamu wa kila aina ya maandiko na elimu. Naye Danieli aliweza kufahamu maono na aina zote za ndoto.
Chunguza Danieli 1:17
3
Danieli 1:9
Basi Mungu alikuwa amemfanya huyo mkuu wa maafisa kuonesha upendeleo na huruma kwa Danieli.
Chunguza Danieli 1:9
4
Danieli 1:20
Katika kila jambo la hekima na ufahamu kuhusu kile mfalme alichowauliza, aliwapata kuwa bora mara kumi zaidi ya waganga na wasihiri wote katika ufalme wake wote.
Chunguza Danieli 1:20
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video