1
2 Samweli 22:3
Neno: Bibilia Takatifu
Mungu wangu ni mwamba wangu, ambaye kwake ninakimbilia, ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu na mwokozi wangu, huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri.
Linganisha
Chunguza 2 Samweli 22:3
2
2 Samweli 22:31
“Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu; neno la BWANA halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake.
Chunguza 2 Samweli 22:31
3
2 Samweli 22:2
Akasema: “BWANA ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu
Chunguza 2 Samweli 22:2
4
2 Samweli 22:33
Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu.
Chunguza 2 Samweli 22:33
5
2 Samweli 22:29
Wewe ni taa yangu, Ee BWANA. BWANA hulifanya giza langu kuwa mwanga.
Chunguza 2 Samweli 22:29
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video