Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 8:29
![Wema Wetu Na Utukufu Wake](/_next/image?url=https%3A%2F%2F%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F35210%2F640x360.jpg&w=1920&q=75)
Wema Wetu Na Utukufu Wake
Siku 3
Katika mpango huu kusoma kwa ufahamu, Mchungaji na mwandishi mashuhuri Tony Evans anaelezea jinsi kila kitu tunachofanya ni kulingana na kusudi kuu la Mungu, na yote hufanya kazi kulingana na mapenzi yake kwa wema wetu na utukufu wake.
![BibleProject | Ufalme Unaoenda Kinyume na Matarijio / Sehemu ya 1 - Luka](/_next/image?url=https%3A%2F%2F%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F30392%2F640x360.jpg&w=1920&q=75)
BibleProject | Ufalme Unaoenda Kinyume na Matarijio / Sehemu ya 1 - Luka
Siku 20
Shirika la BibleProject liliandaa mwongozo wa Ufalme Unaoenda Kinyume na Matarijio Sehemu ya 1 kuwahimiza watu binafsi, vikundi vidogo na familia kusoma kitabu chote cha Luka kwa siku 20. Mwongozo huu unajumuisha video za katuni, muhtasari wa uchambuzi na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia wahusika kumfahamu Yesu na kufuatilia mtiririko wa mawazo ya Luka pamoja na kuyaelewa mafunzo yake.
![BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu](/_next/image?url=https%3A%2F%2F%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F28548%2F640x360.jpg&w=1920&q=75)
BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu
Siku 28
BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihutasari mifupi, na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia washiriki kuchunguza maana ya Biblia ya tumaini, amani, furaha, na upendo. Chagua mwongozo huu ili kujifunza jinsi maadili haya manne yamefika ulimwenguni kupitia kwa Yesu.