Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 8:1

Ushindi juu ya Kifo
Siku 7
Tunaambiwa kila mara, "Ni sehemu nyingine ya maisha tu," lakini misemo inayorudiwarudiwa haiondoi uchungu wa kupoteza mpendwa. Jifunze kumkimbilia Mungu unapokumbwa na mojawapo wa changamoto kuu zaidi maishani.

Yesu: Bendera Wetu wa Ushindi
Siku 7
Tunapo sherehekea Pasaka, tunasherehekea ushindi mkuu katika historia. Kupitia kifo cha Yesu na kufufuka, alishinda nguvu ya dhambi na kaburi, na athari zake zote, na alichagua kushiriki ushindi huo nasi. Pasaka hii, hebu tuangalie baadhi ya ngome alizozishinda, angalia vita alivyovipiga kwa ajili yetu, na umsifu kama bendera ya ushindi wetu.

Mwaka Mpya, Rehema Mpya
SIku 15
Kwa siku 15 zifuatazo, Paul David Tripp atakukumbusha kuhusu neema ya Mungu kwako—ukweli ambao daima si wa kale. Wakati ambapo “urekebishaji wa tabia” na semi za kukutia moyo hazitoshi kukufanya uwe mtu mpya, jifunze kutumainia wema wa Mungu, kutegemea neema yake, na kuishi kwa ajili ya utukufu wake kila siku.