← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 119:75
Mateso
Siku 4
Mateso ni muhimu katika imani ya mkristu 2 Timothy 3:12 Njia ya kukabiliana na mateso kwa njia ya Kikristu huboreka kwa kutafakari neno la Mungu Mistari yafuatayo ukiyakukariri, yatakusaidia kukabiliana na mateso kataika maisha yako. Wacha maisha yako ibadilike kwa kukariri neno la Mungu. Kwa maagizo ya kukariri Bibilia, fuata http://www.MemLok.com