← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 9:10
Kumchukua Mungu Kwa Uzito
Siku 3
Kwa sababu tumepata upendo na neema nyingi za Mungu, ni rahisi kuwa mlegevu kuhusu utii. Hatumchukulii Mungu kwa uzito vya kutosha. Tunaacha kumcha na hatuzingatii matokeo ya kutotii kwetu. Mruhusu mwandishi Tony Evans aambaye vitabu vyake vyauzwa sana akufundishe kuhusu baraka zinazotokana na kuweka agano na Mungu na hatari inayotokea tunapoacha kumchukulia kwa uzito.