← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 30:7
Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika Bwana
Siku 30
Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.