← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 21

Methali
Siku 31
Mpango huu ita kuruhusu kusoma sura moja ya Methali kila siku. Methali imejaa na hekima ambayo imeishi kizazi baada ya kizazi, na itakuongoza kwenye mapito ya haki.

Tusome Biblia Pamoja (Machi)
Siku 31
Sehemu ya 3 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia yote pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge nawe kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya kazi vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano la Kale na Agano Jipya, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kotekote. Sehemu ya 3 inajumuisha vitabu vya Hesabu, Methali, Warumi na Waebrania.