← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 15:21

Upendo Wa Bure
Siku 5
Kunayo kusudi au sababu la maana sana katika maisha yako inayopita fikira au mawazo yako. Unaifahamu. Unahisi jambo hili moyoni mwako. Kijitabu hiki kitakuwa nguzo ya kubadilisha maisha ya wote watakayo kisoma. Funzo au hadithi ya Mwana Mpotevu imegusa mioyo ya mamillioni kote duniani. Siku saba zijayo, utapata kufahamu funzo hili kwa mfano tofauti.