← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 2:27
Bila Utulivu
Siku 3
"Mioyo yetu haina utulivu mpaka ipate ulivu kwako." Haijawahi kutokea kuwa wengi wetu tukakosa utulivu Agustine alielezea kwa hii sentesi maarufu. Lakini suluhisho kwa kukosa utulivu wa kweli kwetu ni nini? Huu mpango wa siku tatu utakuonesha, suluhisho kwa sehemu katika kuona vitendo vya kale vya sabato kwa lenzi tofauti ya "wewe" -- Yesu ndie mwanzo wa amani.