← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 15:47
Yesu Mfalme: Ibada ya Pasaka na Timothy Keller
Siku 9
Mwandishi maarufu wa New York Times na mchungaji mashuhuri Timothy Keller anatuletea mfululizo wa vipindi katika maisha ya Yesu kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Marko. Tunapomakinika katika hadithi hizi, anatuletea ufahamu mpya kuhusu uhusiano kati ya maisha yetu na maisha ya mwana wa Mungu, tunapoelekea msimu wa Pasaka. Sasa hivi, JESUS THE KING ni kitabu na mwongozo wa mafundisho kwa vikundi vidogo, kinachopatikana mahali popote vitabu vinauzwa.