← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yos 4:21

Kukumbuka yale yote Mungu ametenda.
Siku 5
Ni tabia yetu ya asili kutazamia siku zijazo lakini tusisahau kamwe siku zilizopita. Mpango huu umechapishwa kwa ajili yako katika siku 5 zijazo kukukumbusha yote ambayo Mungu amekutendea katika kukutengeneza kuwa ulivyo leo Kila siku utapata somo la biblia na ibada fupi iliyoundwa kukusaidia kukumbuka matukio muhimu katika kutembea kwako na Kristo.