← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 6:37
Ninakungoja Hapa, Njia ya Majirio ya Tumaini
Siku 7
Majirio ni majira ya matarajio na maandalizi. Ungana na mchungaji na mwandishi Louie Giglo katika safari ya majirio kupata ufahamu ya kuwa kungojea siyo kuharibu hasa unapomngojea Bwana. Shikilia nafasi ya kupata ufunuo na tumaini katika safari hii ya majirio. Katika siku saba zijazo utapata amani na himizo kwa nafsi yako kama vile matarajio kuelekea sherehe!