Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 4
BibleProject | Upendo wa Mungu Udumuo Milele
9 Siku
Injil ya Yohana ni mkusanyiko wa shuhuda za maisha na utambulisho wa Yesu kutoka kwa mmoja wa marafiki zake wa karibu. Katiku mpango huu wa kusoma wa siku 9, utasoma simulizi ya Yesu na jinis anavyofanyika kuwa mwanadamu na kuwa mfano wa Mungu wa Israeli. Yeye ni Masihi na pia ni Mwana wa Mungu ayetoa uzima wa milele kwa wote wamwaminio.
BibleProject | Vitabu vya Yohana
Siku 25
Mpango huu unakuwezesha kupanua uelewa wako wa vitabu vya Yohana katika kipindi cha siku 25. Kila kitabu kinajumuisha video iliyotayarishwa kwa lengo mahususi la kuboresha uelewa wako na ushiriki wako katika kusoma Neno la Mungu.
Tusome Biblia Pamoja ( Octoba)
Siku 31
Sehemu ya 10 kati ya mfululizo wenye sehemu 12 katika mpango huu unaziongoza jamii kuipitia Biblia nzima katika siku 365. Wakaribishe wengine kujumuika nawe kila mara unapoanza sehumu mpya kila mwezi. Mfululizo huu unaendana vyema na Biblia ya kusikiliza - sikiza kwa chini ya dakika 20 kwa siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka agano la kale na agano jipya, pamoja na mgawanyiko wa Zaburi Sehemu ya 10 inavihusisha vitabu vya Mhubiri, Yona, Yeremia na Maombolezi