← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 11:24
Huzuni
Siku 5
Huzuni inaweza kutovumilika. Ingawaje marafiki na familia hutoa msaada na faraja, huwa tunahisi ni kana kwamba hakuna anayeelewa—kuwa tuko peke yetu kwa msiba au mateso. Katika mpango huu, utapata maandiko ya kukuliwaza ili kukusaidia kupata mtazamo kutoka kwa Mungu, hisi uhusiano wa Mkombozi wetu kwako, na ushuhudie nafuu kutokana na maumivu yako.
Miujiza ya Yesu
Siku 9
Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.