← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 10:27
Silaha ya Mungu
Siku 5
Kila siku, vita isiyoonekana inapiganwa kukuzunguka--haionekani, haisikiki, lakini bado unaihisi katika maisha yako yote. Adui wa kishetani aliyejitoa kuleta uharibifu kwa kila kitu muhimu kwako: moyo wako, akili yako, ndoa yako, watoto wako, ndoto zako, hatima yako. Lakini mpango wake wa vita unategemea kukustukiza wakati huna silaha za vita. Kama umechoka kusukumwa na kusitukizwa, somo hili ni kwa ajili yako.