← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kum 19
Tusome Biblia Pamoja (Mei)
Siku 31
Sehemu ya 5 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu huongoza jamii kupitia Biblia yote kwa siku 365 pamoja. Waalike wengine kujiunga nawe kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya kazi vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kwa siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano la Kale na Agano Jipya, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kote. Sehemu ya 5 inahusisha vitabu vya Wakorintho wa Kwanza na wa Pili, Kumbukumbu la Torati na Yoshua.