Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 3:1
![Bila Utulivu](/_next/image?url=https%3A%2F%2F%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F15303%2F640x360.jpg&w=1920&q=75)
Bila Utulivu
Siku 3
"Mioyo yetu haina utulivu mpaka ipate ulivu kwako." Haijawahi kutokea kuwa wengi wetu tukakosa utulivu Agustine alielezea kwa hii sentesi maarufu. Lakini suluhisho kwa kukosa utulivu wa kweli kwetu ni nini? Huu mpango wa siku tatu utakuonesha, suluhisho kwa sehemu katika kuona vitendo vya kale vya sabato kwa lenzi tofauti ya "wewe" -- Yesu ndie mwanzo wa amani.
![Pumua shauku ya kiroho ndani ya ndoa yako](/_next/image?url=https%3A%2F%2F%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F1287%2F640x360.jpg&w=1920&q=75)
Pumua shauku ya kiroho ndani ya ndoa yako
Siku 7
Ikichukuliwa kutoka kitabu chake kipya "Maisha marefu ya upendo", Gary Thomas anaongea kuhusu madhumuni ya milele ndani ya ndoa. Jufunze viungu vya maana kwa kusaidia kubeba ndoa yako ndani ya mahusiano yakujaa na mambo mapya, ikienezwa na maisha kwa wengine.
![Upendo wa Kweli ni nini?](/_next/image?url=https%3A%2F%2F%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F31668%2F640x360.jpg&w=1920&q=75)
Upendo wa Kweli ni nini?
Siku 12
Kila mtu anataka kujua upendo ni kitu gani. Lakini watu wachache huangalia ni nini Biblia inasema kuhusu upendo. Upendo ni mada moja muhimu ya Maandiko na pia wema muhimu zaidi katika maisha ya Kikristo. Mpango huu kutoka Huduma za Thistlebend unashughulikia maana ya kibiblia ya upendo na jinsi ya kuboresha kumpenda Mungu na kuwapenda wengine.