← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 7:29
Ndoa
Siku 5
Ndoa ni uhusiano wenye changamoto na tuzo na huwa tunasahau kwamba usemapo "Ndio" huo ndio mwanzo tu. Kwa bahati nzuri, Biblia ina mengi ya kusema kuhusu Ndoa kwa mtazamo wa mume na mke. Vifungu vya neno utakavyo soma katika mpango huu kila siku vimeundwa kukusaidia kuelewa muundo wa Mungu kuhusu Ndoa—na kukuza uhusiano wako na mume au mke wako.