1
Mwanzo 10:8
Biblia Habari Njema
Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani.
Jämför
Utforska Mwanzo 10:8
2
Mwanzo 10:9
Alikuwa mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu, ndiyo maana kuna msemo usemao, “Kama Nimrodi mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu.”
Utforska Mwanzo 10:9
Hem
Bibeln
Läsplaner
Videor