YouVersion logo
Dugme za pretraživanje

Mathayo 5:13

Mathayo 5:13 TKU

Mnahitajika kama chumvi inavyohitajiwa na wale waliopo duniani. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake, haiwezi kufanywa chumvi tena. Haina manufaa yoyote isipokuwa hutupwa nje na kukanyagwa na watu.

Video za Mathayo 5:13