YouVersion logo
Dugme za pretraživanje

Luka 14:13-14

Luka 14:13-14 SRUV

Bali ufanyapo karamu waite maskini, vilema, viwete, vipofu, nawe utakuwa heri, kwa kuwa hao hawana cha kukulipa; kwa maana utalipwa katika ufufuo wa wenye haki.

Video za Luka 14:13-14