YouVersion logo
Dugme za pretraživanje

Yohana 2:7-8

Yohana 2:7-8 SRUV

Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza mpaka juu. Akawaambia, Sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa sherehe. Wakapeleka.