1
Matendo 3:19
Biblia Habari Njema
Basi, tubuni, mkamrudie Mungu ili yeye afute dhambi zenu.
Uporedi
Istraži Matendo 3:19
2
Matendo 3:6
Kisha Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu, lakini kile nilicho nacho nitakupa. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, tembea!”
Istraži Matendo 3:6
3
Matendo 3:7-8
Halafu, akamshika mkono wa kulia, akamwinua. Papo hapo miguu na magoti yake yakapata nguvu. Akaruka, akasimama na kuanza kutembea. Halafu akaingia pamoja nao hekaluni, akitembea na kurukaruka huku akimtukuza Mungu.
Istraži Matendo 3:7-8
4
Matendo 3:16
Jina la Yesu na imani katika jina hilo ndivyo vilivyompa nguvu mtu huyu mnayemwona na kumfahamu. Imani kwa Yesu ndiyo iliyomponya kabisa mtu huyu kama mnavyoona nyote.
Istraži Matendo 3:16
Početna
Biblija
Planovi
Video zapisi