1
Luka 23:34
Swahili Revised Union Version
Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo. Wakagawa mavazi yake, wakipiga kura.
Uporedi
Istraži Luka 23:34
2
Luka 23:43
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
Istraži Luka 23:43
3
Luka 23:42
Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.
Istraži Luka 23:42
4
Luka 23:46
Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Ee Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.
Istraži Luka 23:46
5
Luka 23:33
Na walipofika mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, ndipo walipomsulubisha yeye, na wale wahalifu, mmoja upande wa kulia, na mmoja upande wa kushoto.
Istraži Luka 23:33
6
Luka 23:44-45
Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hadi saa tisa, jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati.
Istraži Luka 23:44-45
7
Luka 23:47
Alipokwisha kusema hayo alikata roho. Yule jemadari alipoona yaliyotukia, alimtukuza Mungu, akisema, Hakika yake, mtu huyu alikuwa mwenye haki.
Istraži Luka 23:47
Početna
Biblija
Planovi
Video zapisi