1
Mwanzo 5:24
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Alikuwa mcha Mungu, akatoweka, kwa maana Mungu alimchukua.
Krahaso
Eksploroni Mwanzo 5:24
2
Mwanzo 5:22
Henoki alikuwa mcha Mungu. Baada ya kumzaa Methusela, Henoki aliishi miaka 300 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Eksploroni Mwanzo 5:22
3
Mwanzo 5:1
Ifuatayo ni orodha ya wazawa wa Adamu. Wakati Mungu alipomuumba binadamu, alimuumba kwa mfano wake.
Eksploroni Mwanzo 5:1
4
Mwanzo 5:2
Aliwaumba mwanamume na mwanamke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Binadamu.”
Eksploroni Mwanzo 5:2
Kreu
Bibla
Plane
Video